What is Mawingu WiFi?
Mawingu is a fixed, wireless, Internet access provider giving you access to affordable Internet in specific hotspots (WiFi Zones).

Mawingu’s nomadic WiFi, open technology, enables customers to access data from one Mawingu hotspot to another. Mawingu offers internet bundles and customers can select from four bundle sizes, as follows:  Chwani bundle – 300 MB, Pepea bundle – 500MB, Thamani bundle – 2GB or Akiba bundle – 8G .  All bundles are valid for 90 days from purchase date.

What is a hotspot?
A hotspot is a specific area where you can connect your WiFi enabled device to the Internet. Customers can enjoy Internet by visiting these hotspots, using a one-time login.

How do I access Mawingu WiFi?
To access Internet using Mawingu WiFi, you need to have WiFi enabled on your device. Once you visit a hotspot and select to access Internet from your device, a login page will automatically be displayed. Use your email address and password that you set while registering to start enjoying our Internet services.

What are the charges?
There are four bundle plans available that you can subscribe to. You can choose to subscribe to the 300MB @ Ksh 50, 500MB @ Ksh 100, 2GB @ Ksh 300 or 8GB @ Ksh 1,000.

Where can I find Mawingu WiFi?
Mawingu has several hotspots in and around the environs of Laikipia and Meru Counties and we have plans to roll out to other counties. Once you sign up to Mawingu WiFi, you can connect your WiFi enabled device at any Mawingu WiFi zone.

How do I find a hotspot or the coverage in my area?
Please visit www.mawingunetworks.com/merchants to find a comprehensive list of the townships and areas that Mawingu WiFi is present.

What can I browse for my subscription?
Your access to the world has no limits

 • Research for school or university projects online via Internet Explorer or Google.
 • Get social on Facebook and Twitter.
 • Stay connected by getting an email account from Hotmail, Yahoo or Gmail.
 • Access government websites such as those of KRA or E-citizen.
 • Watch movies on YouTube or listen to your favourite tunes.
 • Chat with friends and family, both near and far on WhatsApp.
 • Watch podcasts on online business forums and see how you can improve and grow your business or find new ideas on how to start a business.
 • You can download music or pictures and much more.

Can I connect to more than one device at a time using my subscription?
No. You can only subscribe to one device at a time using your subscription.

Is browsing the Internet unlimited?
Browsing on the internet is not unlimited. There is a cap on usage based on the bundle you have subscribed to. Capping prevents misuse of bandwidth and enforces a fair use policy amongst all our customers so that you can enjoy a reliable internet experience. You have access to the internet up to the data limits specified in the bundles. Chwani bundle – 300 MB, Pepea bundle – 500MB, Thamani bundle – 2GB or Akiba bundle – 8GB. For further information on capping and usage, please see our terms and conditions.

How do I renew my subscription after the end of the subscription period?
Please visit your nearest Mawingu Merchant to purchase a new bundle or renew your existing bundle. You can also pay via Mpesa, see instructions below.

What happens if I don’t utilize the service fully based on the period I have subscribed for?
All bundles are valid for 90 days, allowing for plenty of time to use the data.  After this period, the subscription and any remaining data will expire.

Who should I contact if I have a problem accessing the service?
Should you have a problem please call us on 0716 100 200 or send us an email to customercare@mawingunetworks.com explaining the nature of your problem.

HOW TO ACTIVATE MAWINGU WiFi ON YOUR WiFi ENABLED DEVICE

In order for you to start using Mawingu WiFi you have to first be in a Mawingu WiFi Zone and then follow the steps below.

If you have a WiFi enabled or smart phone device, you need to first enable your WiFi by going through your phone menu and selecting WiFi. You will see this symbol on your device being activated.

Open the Mawingu WiFi and it will redirect you to the Mawingu splash page. You need to have an active email address, if you do not have one you will be assisted to create one.

The splashpage will provide the following fields.

If you already have a Mawingu account, fill in the email address and password, then click sign in. By doing this, you will automatically be connected to Mawingu WiFi.

If you are a new member, click on the “create account” option and fill in the fields as below and then click “create account

For the payment of your subscription, you should visit your nearest  Mawingu Merchant or pay via Mpesa as shown below.

If you decide to pay cash, just hand over the subscription amount to the agent to get activated.

If you prefer to pay via MPESA, use the following simple steps:-

Go to the MPESA menu on your mobile phone,

 1. Select Lipa na MPESA
 2. Select Pay Bill
 3. Enter business number as 579950
 4. Enter account number as your mobile number
 5. Enter the amount you wish to pay and confirm

After the successful creation of your account and payment, you can now sign in using the created log in credentials to access the Mawingu WiFi.

Who should I contact if I have a problem accessing the service?

There is both telephone and email support available during business hours on +254 716 100 200. Alternatively, you can email us on customercare@mawingunetworks.com.

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

Jee Mawingu WiFi ni nini?
Mawingu ni mtoaji huduma za Internet kupitia nyaya na isiyo ya kutumia nyaya inayokupatia Internet yenye bei nafuu katika sehemu maalum za hotspots (Maeneo ya WiFi).

Teknolojia iliyo wazi ya kuhamahama ya Mawingu huwezesha wateja wake kupata data kutoka eneo moja la Mawingu hotspot hadi lingine.  Kwa sasa Mawingu inatia huduma za Internet isiyo na kikomo na wateja wanaweza kuchagua kujisajili kwa mambo wa malipo ya kila wiki au ya kila mwezi.

Jee hotspot inamaanisha nini?
Hotspot ni eneo maalum ambalo ukiwa hapo utaweza kuunganisha kwenye Internet kifaa chako cha mawasiliano kilichowezeshwa kupokea WiFi. Wateja wataweza kufaidi na kufurahia Internet kwa kutembelea vituo hivi vya hotspots.

Jee nitawezaje kupata Mawingu WiFi?
Kuweza kupata Internet kupitia Mawingu WiFi, unahitaji kuwa na kifaa kilichowezeshwa kwa WiFi. Pindi unapofika katika hotspot na uchague kupata Internet kwa kifaa chako, ukarasa wa kuingia utaonyeshwa moja kwa moja. Tumia anwani yako ya email na neno lako la siri uliloweka wakati wa kujisajili na uanze kufurahia huduma zetu za Internet.

Jee inalipishwa vipi?
Kwa sasa tuko na orodha mbili za malipo tunazotoa ambazo unaweza kujiandikisha. Unaweza kuchagua kujiandikisha katika orodha ya malipo ya Ksh 50 (300MB), Ksh 100 (500MB), Ksh 300 (2GB) au ya Ksh 1000 (8GB)

Jee nitapata wapi Mawingu WiFi?
Mawingu wako na vituo vingi vya hotspots ndani na nje ya maeneo ya Kaunti za Laikipia na Meru na tuko na mipango ya kueneza huduma zetu katika Kaunti zingine. Mara tu unapojiandikisha kupata huduma za Mawingu WiFi aidha za kila wiki au za kila mwezi, utaweza kuunganisha kifaa chako kilichowezeshwa kutumia WiFi ukiwa katika eneo lolote la Mawingu WiFi kupitia utambulisho uliotumia wakati wa kujiandikisha.

Nitapata vipi mahala palipo na hotspot au inapopatikana katika eneo langu?
Tafadhali tembelea tovuti www.mawingunetworks.com ili kupata orodha kamili ya maeneo katika miji  ambako utaweza kupata Mawingu WiFi.

Naweza kutumia Internet kwa kiasi gani kulingana na malipo yangu?
Kukiwa na Internet isiyo na kikomo, ufikiaji wako kote duniani pia hauna kikomo.

 1. Utafiti kwa miradi ya shule na vyuo vikuu kupitia mtandao wa Internet Explorer au Google.
 2. Kuingia mitandao ya kijamii kwa Facebook na Twitter.
 3. Endelea kuunganishwa kwa kupata akaunti ya email kutoka Hotmail, Yahoo au Gmail.
 4. Fikia tovuti za serikali kama zile za KRA au E-citizen.
 5. Tazama sinema katika YouTube au sikiliza muziki wako uupendao.
 6. Piga Chat na marafiki pamoja na familia wakiwa karibu au mbali kupitia WhatsApp.
 7. Tazama podcasts za vikao vya biashara moja kwa moja mtandaoni na utambue vipi  utaweza kuboresha na kustawisha biashara yako au pata fikira mpya za jinsi ya kuanzisha.
 8. Unaweza kudondoa muziki au picha na mengine mengi.

Jee naweza kuunganisha vifaa zaidi ya kimoja kwa wakati mmoja nikitumia usajili wangu?

La. Unaweza tu kuandikisha kifaa kimoja kwa wakati mmoja ukitumia usajili wako.

Jee kutakuwa na kipimo cha matumizi ya data? Kipimo hicho ni kiasi gani?
Huku upatikanaji wa Internet ukiwa ni wa bila kikomo na kukiwa hakuna kipimo cha mawimbi kilichowekwa, tunahimiza matumizi ya mtandao kwa njia ya kuwajibika na kuzuiya matumizi ya kupita kiasi kama yalivyo katika mwongozo wa kanuni na vigezo.

Jee vipi nitafanya upya usajili wangu baada ya muda wa usajili kumalizika?
Unaweza kuchagua kulipa kwa pesa taslimu kwa muuzaji rasmi wa Mawingu au kupitia MPESA pay bill number 579950.

Kutafanyika nini ikiwa sitatumia huduma katika muda wote wa usajili wangu?
Usajili katika huduma yetu umefungamanishwa na muda na kwa ajili hiyo humalizika wakati muda wa usajili unapomalizika. Kuongeza muda zaidi ya muda uliyowekwa hakuruhusiwi.

Nitawasiiana na nani  iwapo nitakuwa na matatizo ya kupata huduma hii?
Ikiwa uko na tatizo tafadhali tupigie kwa nambari 0716 100 200 au tuma  email kwa customercare@mawingunetworks.com ukielezea aina ya tatizo ulilo nalo.

JINSI YA KUANZISHA MAWINGU WiFi KWENYE KIFAA CHAKO KILICHOWEZESHWA KUTUMIA WiFi

Ili kuanza kutumia Mawingu WiFi kwanza unahitajika kuwa katika eneo la Mawingu WiFi halafu ufuate hatua hizi hapa chini.

Ikiwa uko na kifaa kilichowezeshwa kwa WiFi au simu ya smart phone, kwanza unahitaji kuamilisha WiFi yako kwa kupitia menyu ya simu yako na kuchagua WiFi. Utaona alama kama hii kwenye simu yako ikianza kuamilishwa.

Fungua Mawingu WiFi na itakuelekeza palipo na ukurasa wa tovuti ya  Mawingu. Unahitajika kuwa na anuani ya email inayotumika, iwapo hauna, utasaidiwa kufungua.

Ukurasa huu wa tovuti utakupatia nafasi zifuatazo za kujaza

Ikiwa tayari uko na akaunti ya Mawingu, jaza anuani ya email na nenosiri lako, kisha bonyeza kuingia ndani. Kwa kufanya hivi, utaunganishwa moja kwa moja na Mawingu WiFi

Ikiwa wewe ni mteja mpya, bonyeza palipo “fungua akaunti” na ujaze nafasi hizi zinazoonyeshwa hapa chini halafu ubonyeze “fungua akaunti

Kulipia ada ya usajili wako, unaweza kuamua aidha kulipa na pesa taslimu kwa mtandao wa ajenti wa Mawingu katika eneo lako au kupitia MPESA.

Iwapo utaamua kulipa kwa pesa taslimu, lipa tu kiasi cha ada ya usajili wako kwa ajenti ili akuanzinshie huduma. Ikiwa unapendelea kulipa kupitia MPESA, tumia hatua hizi chache rahisi:-

Nenda kwa menyu ya MPESA katika simu yako ya mkono

 1. Chagua Lipa na MPESA
 2. Chagua Pay Bill
 3. Ingiza business number kama 579950
 4. Ingiza nambari yako ya simu ya mkono kama account number
 5. Ingiza kiasi cha pesa unachohitaji kulipa na uthibitishe

Baada ya kufaulu kufungua akaunti yako na kukamilisha malipo, sasa unaweza kuingia mtandaoni ukitumia utambulisho wako wa kuingia katika mtandao wa  Mawingu WiFi.

Ni nani nitawasikiliana naye ikiwa nitapata matatizo katika upataji wa huduma hii?

Kuna nambari ya simu na pia email ya kukupatia usaidizi wakati wa masaa ya kazi nambari +254 716 100 200. Kinyume na hivi, unaweza kututumia email kwa customercare@mawingunetworks.com

Mambo ni Dijitali

Get connected today by subscribing at your nearest Mawingu WiFi hotspot and choose from our weekly, monthly or three month bundle to get you started.

Mambo ni Mawingu.

Mambo ni Dijitali

Unganishwa na Internet leo popote palipo na Mawingu WiFi hotspot katika eneo kwa kujisajili kwenye mpango wa malipo ya wiki au ya mwezi. Pata Internet *bila kikomo kwa bei nafuu.

Mambo ni Mawingu.